Afro-drill Bounce With East African Percussion
Muzică Generată de AI
Afro-drill Bounce With East African Percussion Piese
1 zi în urmă
de Junes John
HASO ZA VIJANA Jboy on the mic Verse 1: Maisha yetu sisi vijana tuna haso, Leo ndoto nyingi, kesho hata nauli hatuna boss, Tuna-cheka mchana, usiku mawazo yanatutesa, Lakini bado tunasimama, hatutaki kuonekana wanyonge kabisa. Mfukoni hakuna kitu, moyo una matumaini, Marafiki wanageuka, wanapoona hali ni ngumu kweli, Lakini kijana ni chuma, hatokubali kushindwa, Anaanguka mara nyingi, lakini bado