Versuri
( chorus -Random) Ooo, watapi watapigwa na bwana, maadui watapi watapigwa na bwana (verse -female) mpendwa wewe ni mali ya bwana, maadui wasikuvuruge, maadui wasikutetemeshe, mpendwa, unaye bwana, bwana mwenye mabega mapana, atakubeba beba, atakuvusha vusha hadi ng'ambo yamateso, atakusafisha safisha, vumbi lote atalikung'unta, kung'unta, nawe utakuwa huruu, (chorus -Random) Ooo, watapi watapigwa na bwana, maadui watapi watapigwa na bwana, mpendwa usiwaogope, maadui watapi watapigwa na bwana aeee, (verse -male & female) mpendwa usijizarau, wewe ni mali ya bwana, maadui ni gunia tupu, maadui pia panga butu, usiwatetemekee, wao ndo wakutetemekee(chorus -Random) Ooo watapi watapigwa na bwana, maadui watapi watapigwa na bwana, mpendwa usiwaogope, maadui zako wote watapigwa na bwana, aeee.