Letra
natanga tanga katika dunia kutafuta dawa,
ila cha kushangaza sijaipata naelemewa,
nazidiwa na mawazo maneno maneno hapa na pale,
nitalifanya moja funzo kuwazima midomo wambea washakunaku.
waache penzi liote mizizi ,listawi lishamiri,
wala wasilete tamaa za fisi, kutenganisha viwiliwili,
mimi nishazama siwezi piga mbizi kwenye moyo wako sichomoki,
hata wakwambie we mwizi so vibaya kuliiba langu penzi.
(chorus)kwa urembo hawakufikii,hata wapime tabia umewapita mbali,
wambea na wanafki ,wasinifanye nionekane gaidiii,
mana sioni sisikii,umenifumba macho naona kwa moyo,
ila usiamini sana marafikii,watajifanya wema ila wabaya ndo hao hao.....
natafuta dawa iniponye mimi naumwa,
siku hizi kama nanywa kahawa,
usiku silali kwa ajiliyo nakesha,
ila usijali nipo sawa,
usijali hata kuhusu yangu tiba,
mana nahisi hiyo dawa,
nishaipata na wewe ndo tibaaa...

ila usiamini sana marafikii,watajifanya wema ila wabaya ndo hao hao