ASANTE KWA UPENDO WAKO cover art

ASANTE KWA UPENDO WAKO

Benard channel Benard channel

생성일: 6월 4, 2026

가사

Eehleeeh

Ben da soul,;

Ah
Mungu waangu
Aahaaaa



Nimevuka mito mabonde na milima
Hata kuna muda nilishinda na njaa
Ila kamwe katu siwezi kuruhusu
Kutoka (uweponi mwako), babaa

Waache wanisimange
wanikatae kwako sitaondoka aah
kwenye peji za mange
Waniseme vibaya kwako sitaondoka aah
Mara oh, benadi navuta bange,
Napenda mirungi wanawake na pombe,
Eti sina nizamu walinifuma na mshange,

Haya yalikua zamani baba leo nimebadilika
aaha aaahaaaaa



Mungu wangu, “mungu wangu
Asante kwa upendo, wako
Hii, Dunia ,vingi -vilio
Asante kwa upendo, wakoo
Japo Mateso, mateso, mateso,
Yamenilemea ila kamwe siachi kuombaah
Miguuni pako mungu wangu nafutwa machoozi yangu


Natamani nikuone mungu wangu,
Baba (mteteezi )
Unae pigana upande wangu,
Baba (mteteezi)
Eeh yeeeh
Mambo ni mengi duniani ila siachi kuombaa
Natamani nikuone mungu wangu,
Baba mteteezi

Asante baba la baba


aaah laaaa laaa
Uuuuhuuuu
La, la , la, la, la
Laaa laaa laaaa

Asante baba
Mungu wangu eeh
Asante papa godii aaha, la, la , laaa



Baba nimesoma, umefanya mingi miujiza
Mtumishi wako musa, aligusa mwamba yakatoka majii
Ulitimiza aneno yako, kwa manabii
Mwanao yesu kuzaliwa dunianii
Uliwalisha ma, mia elfu jangwani
Kwa vipande vya samaki na chapati tu jamanii
Uliwapa nguvu walio pooza, ukawafufua walio kufaa aah,
Mara oh, benadi navuta bange,
Napenda mirungi wanawake na pombe,
Eti sina nizamu walinifuma na mshange,

Haya yalikua zamani baba leo nimebadilika
aaha aaahaaaaa



Eeheeeeh yahweeh eeehee


Mungu wangu, “mungu wangu
Asante kwa upendo, wako
Hii, Dunia ,vingi -vilio
Asante kwa upendo, wakoo
Japo Mateso, mateso, mateso,
Yamenilemea ila kamwe siachi kuombaah
Miguuni pako mungu wangu nafutwa machoozi yangu


Natamani nikuone mungu wangu,
Baba (mteteezi )
Unae pigana upande wangu,
Baba (mteteezi)
Eeh yeeeh
Mambo ni mengi duniani ila siachi kuombaa
Natamani nikuone mungu wangu,
Baba mteteezi

Asante baba la baba


aaah laaaa laaa
Uuuuhuuuu
La, la , la, la, la
Laaa laaa laaaa

Asante baba
Mungu wangu eeh
Asante papa godii la, la, la , laaa



Eehlee aaah

Eeeeheee uuuuhuuuu

Eh

Mungu wangu, “mungu wangu
Asante kwa upendo, wako
Hii, Dunia ,vingi -vilio
Asante kwa upendo, wakoo
Japo Mateso, mateso, mateso,
Yamenilemea ila kamwe siachi kuombaah
Miguuni pako mungu wangu nafutwa machoozi yangu



Ben -da soul…