Qboy Chris cover art

Songtexte

[Verse 1]
Acha nimtape chris
mana nimzuri
Kama gis anasifa za kukaa kwenye kiti
yachekesh
anajuakwimba kama jesh
adiwatu wanasema
uyu ni fresh
kila kona anashika
hana stress
hana Heat

[Pre-Chorus]
Akipita sokoni
ni tititi
Macho yanamfuata
mara titi
Ana style ya ukweli
haijifichi
Mapigo ya moyo
yanasema hivi

[Chorus]
Okay m..m..mk...
Qboy...
mapenzi...
Chris..
MK (mk... MK... MK)
Qboy, Qboy
mapenzi ya Chris
Qboy, Qboy
kila kona ni fresh
MK (mk... MK... MK)
mapenzi ya Chris
Qboy, Qboy
uyu ni best

[Verse 2]
Acha nimtape chris
mana nimzuri
Anapotembea
mitaa inakubali
Kama gis anasifa
za kukaa kwenye kiti
Kila sauti yake
inaingia ndani
Anajuakwimba kama jesh
sio hadithi
Na tabasamu lake
linakata hewa
adiwatu wanasema
uyu ni fresh
na mimi nipo hapa
kumsema tena

[Bridge]
Okay m..m..mk...
nisikie sasa
Mapenzi yakipita
yote yanasahaulika
Chris akipenda
moyo unacheza
MK (mk... MK... MK)
mpaka asubuhi

[Chorus]
Okay m..m..mk...
Qboy...
mapenzi...
Chris..
MK (mk... MK... MK)
Qboy, Qboy
mapenzi ya Chris
Qboy, Qboy
kila kona ni fresh
MK (mk... MK... MK)
mapenzi ya Chris
Qboy, Qboy
uyu ni best