Matamanio Ya Moyo Wangu cover art

Paroles

[Verse 1]
Matamanio ya moyo wangu
Ni kukujua Wewe
Ni haja ya moyo wangu
Ni kukujua Wewe
Ee Bwana

Matamanio ya moyo wangu
Ni kukujua Wewe
Ni haja ya moyo wangu
Ni kukujua Wewe
Mungu wangu

[Chorus]
Bwana natamani sana
Nikutambue zaidi
Bwana nikujue zaidi
Ndipo hayo mema yatakaponijia
Ndipo hayo mema yatakaponijia

Ntakapokujua Wewe
Nitapata amani
Nikikujua Wewe
Roho yangu itapumzika

[Verse 2]
Siku zangu za usiku
Ninakutafuta Wewe
Katikati ya machozi
Ninakuita
Baba

Katikati ya furaha
Nakutegemea Wewe
Kila pumzi ni sala
Nifundishe moyo wako

[Chorus]
Bwana natamani sana
Nikutambue zaidi
Bwana nikujue zaidi
Ndipo hayo mema yatakaponijia
Ndipo hayo mema yatakaponijia

Ntakapokujua Wewe
Nitapata amani
Nikikujua Wewe
Roho yangu itapumzika

[Bridge]
Zaidi ya baraka
Zaidi ya ahadi
Haja ya moyo wangu
Ni kukujua Wewe (Ee Bwana)

Zaidi ya majibu
Zaidi ya miujiza
Haja ya moyo wangu
Ni kukujua Wewe

[Chorus]
Bwana natamani sana
Nikutambue zaidi
Bwana nikujue zaidi
Ndipo hayo mema yatakaponijia
Ndipo hayo mema yatakaponijia

Ntakapokujua Wewe
Nitapata amani
Nikikujua Wewe
Roho yangu itapumzika